WATU
watatu wanaosadikiwa kuwa majambazi wameuawa kwa kuchomwa moto usiku wa
kuamkia leo baada ya kuvamia dukal a mama mmoja wa kijiji cha Kisiwa,
kata ya Kiloka, wilaya ya Morogoro Vijijini.
Jumla ya
majambazi hao walikuwa 10 ambapo saba walifanikiwa kutokomea na watatu
kutiwa nguvuni na wananchi wenye hasira kali walioamua kuwatia moto!