TMA YAWAASA WANANCHI KUTOPUUZA TAHADHARI ZITOLEWAZO


Mkurugenzi wa ofisiya Zanzibar, Bw Mohamed Ngwaliakitoa maelezo ya takwimuza hali mbaya yahe wailiyowahi kutokea kwa kipindi cha miaka 50 katika visiwa vya Unguja na Pemba, akisisitiza wananchi kutopuuza tahadhari zitolewazo.
Ofisa Uhusianowa TMABi.Monica Mutoni akitoa elimu kwa umma jinsi ya kupata taarifa za hali yahe wakupitia njia mbalimbali za usambazaji wataarifa hizo kwenye maonesho ya maadhimisho yamiaka 50 ya Mapinduziya Zanzibar
Meneja Kituo cha Zanzibar Bw. Said Khamis akimwelezea mwananchi njia mbalimbali za ukusanyaji wa takwimu za hali ya hewa kwenye maonesho ya maadhimisho yamiaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Wananchi mbalimbali wakipata maelezo ya kina juu ya umuhimu wataari faza hali yahe wakati kabanda la TMA kwenye maonesho ya maadhimisho yamiaka 50 yaMapinduziya Zanzibar


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...