Mbunge
wa Kigoma kaskani Mh Zitto Kabwe akisalimiana na wakazi wa Kigoma mara
baada ya Kuwasili kigoma asubuhi ambapoa wakazi wa kigoma wamejitokeza
kwa wingi kumpokea Mbunge wao
Zitto Kabwe akiwa katika gari la wazi mara baada ya kutua kigoma asubuhii ambapo amepata mapokezi ya kishindo
TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)
wafuasi wa Zitto kabwe wakiwa katika maandamano..
2 comments
yeye kama ni wa maana sana anaweza kuondoka tu sisi Watanzania hatutaki mamluki tunataka mabadiliko tumechoka na ukiritimba wa chama kimoja ndani ya mfumo wa vyama vingi
Acha ubwege mtoto wa kiume...na kuamini habari za kupikwa..mbulula wewe.