Gari
aina ya Mercedes Benz la Rita Paulsen aka Madam Rita limeteketea kwa
moto likiwa barabarani Jumamosi iliyopita, Oct 26,2013.Hata hivyo kwenye
gari hilo lililozimika barabarani na kuanza kuwaka moto, hakuwemo Madam
Rita bali dereva wake, Julius Kanwakaita.Chanzo kilichopelekea gari
hilo kuwaka moto hakijafahamika mara moja.August 21 mwaka jana, ofisi za
kampuni yake ya Benchmark Productions zilizopo Mbezi Beach ziliteketea
pia kwa moto.
Mkurugenzi na judge wa bongo star search Rita Poulsen amepata hasara
kubwa baada ya gari lake aina ya mercedes benz kuteketea kwa moto.
Madam Rita hakupatikana kuelezea chanzo kilichopelekea gari lake kuteketea kwa moto.