Hapa
bado haijakamilika, ni stage ambayo kukamilika kwake inachukua siku
kumi ikiwa inatengenezwa… ni stage ambayo itakua na winch ya kupandisha
wasanii kuja kufanya show, kutakua na screen za kisasa zaidi kuonyesha
kila kinachoonekana kwenye stage.. Kama
unavyoona kwa mbali, kwa mara ya kwanza Fiesta hii backstage yake
imejengewa nyumba ya kisasa zaidi na ndefu kwenda juu, ndani yake
kutakua na baa, screen kubwa, makochi ya kisasa kwa ajili ya
watakaokuwepo hapo. Hii ni stage nyingine Ukiangalia
kwa makini hapa kuna stage mbili kubwa ambazo zimeunganishwa na
barabara ambayo inamuwezesha msanii kutembea juu huku mashabiki wakiwa
pembeni kulia na kushoto yani… Habari na Millardayo.com