WAZIRI WA UCHUKUZI DK MWAKYEMBE AKUTANA NA MARUBANI KUJUA MATATIZO WANAYOKUMBANA NAYO

 Katibu Wa Chama Cha Marubani, Bw Khalil Iqbal akielezea matatizo wanayokumbana nayo katika mazingira ya kazi wakati wa kikao na waziri wa Uchukuzi, Dk Harriosn Mwakyembe leo.
 Waziri wa Uchukuzi Dk Harrison Mwakyembe akitoa majibu kutoka kwa marubani ambao walikua na kikao leo na waziri wa uchukuzi
 Captain Aziz Abdallah, Rubani Mkuu wa Coastal Aviation akitoa maelezo kwa waziri wa Uchukuzi wakati wa kikao na marubani uliofanyika leo katika ukumbi wa Transit Lounge uliopo terminal one 
 Akisisitiza Jambo
Baadhi ya marubani na waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo leo

Related Posts


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...