UZEMBE WA
MADEREVA NDIYO CHNZO CHA AJARI TANZANIA AJARI HII IMETOKEA BUNJU A
DAR-SALAAM. DEREVA WA LORI ALITAKA KULIPITA GARI DOGO LILILOKUWA MBELE
YAKE WAKATI HUO HUO KARI DOGO HILO LILIKUWA LINA PINDA KONA HIKI NDICHO
KILICHOTOEA. BAATI MZURI AKUKUTOKEA KIFO KATIKA AJARI HII.
