BREAKING NEWS :LORI LAACHA NJIA NA KUGONGA MAGARI MATANO MDA HUU UBUNGO


AJALI YATOKEA UBUNGO MUDA HUU IKIHUSISHA LORI,NI BAADA YA LORI HILO BREKI ZAKE KUACHIA NA KUGONGA MAGARI MATANO ... KUNA FOLENI KUBWA NA HAPAPITIKI ...TAARIFA ZAIDI INAKUJIA


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...