Home »
Uncategories »
BREAKING NEWS:. AJALI MBAYA KITUO CHA MABASI UBUNGO JIJINI DAR
BREAKING NEWS:. AJALI MBAYA KITUO CHA MABASI UBUNGO JIJINI DAR
Unknown
4:13 PM
Mkusanyiko wa watu wakiwa eneo la ajali Ubungo jijini Dar es Salaam.
Ajali
mbaya imetokea ubungo lango kuu la kuingilia mabasi yatokayo mikoani.
Ajali imehusisha magari 6 likiwemo UDA mpaka sasa haijajulikana idadi ya
watu waliopoteza maisha.