PICOLO BEACH HOTEL ILIYOPO KAWE JIJINI DAR ES SALAAM YAUNGUA MOTO

Sehemu ya Hoteli ya Picolo Beach ikiteketea kwa moto.
Sehemu ya Hoteli ya Picolo Beach iliyopo Kawe, Dar es Salaam kwa sasa  inateketea kwa moto. Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika mpaka sasa! Tutaendelea kuwapa taarifa zaidi juu ya tukio hili!


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...