Wachezaji wa Simba wakiwa wamepozi kwa picha.
Baadhi ya wachezaji wa Simba wakiwa katika boti kabla ya kuanza kwa safari ya kwenda kuweka kambi ya Mazoezi Zanzibar.
Baadhi
ya wachezaji wa Simba wakielekea kupanda boti katika Bandari ya Dar es
Salaam, kwa ajili ya safari ya kwenda Zanzibar kwenye kambi ya mazoezi
ya kujiandaa na Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara, inayotarajiwa kuanzai
hivi karibuni. (Picha na Francis Dande)
Baadhi ya wachezaji wa Simba wakiwa wamepozi kwa picha.
CHANZO :JIACHIE BLOG