SERIKALI YAKANUSHA KUWEPO KWA UGONJWA WA EBOLA NCHINI

  Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Shaaban Mwinjake (kushoto), akikanusha kuwepo kwa ugonjwa huo kama ilivyodaiwa na baadhi ya vyombo vya habari.
 Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Shaaban Mwinjake.
 Mkurugenzi Msaidizi wa Dharura  na Maafa wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Elias Kwesi, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo wakati wakikanusha kuwepo kwa ugonjwa wa Ebola nchini. Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)
 Mkurugenzi Mkuu wa Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Suleiman Said Suleiman akizungumza namna TAA ilivyojipanga kuhakikisha hakuna msafiri kupitia viwanja vya ndege mwenye ugonjwa huo atakayeingia nchini bila ya kugundulika.
 Msaidizi wa Mkuu wa Kituo cha Uhamiaji Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Asha Omar akielezea namna Uhamiaji walivyojipanga kuhakikisha inawatambua wageni wanaoingia nchini hasa wale wanaotoka nchi zilizoathiriwa na ugonjwa huo.
 Mkurugenzi Msaidizi wa Dharura  na Maafa wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Elias Kwesi, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo wakati wakikanusha kuwepo kwa ugonjwa wa Ebola nchini.
 Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya  na Ubora, Dk.Fausta Mosha (kulia), akitoa ufafanuzi wa kimaabara kuhusu ugonjwa huo.
 Maofisa wa JNIA wakiwa kwenye mkutano huo.
 Maofisa kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wakiwa kwenye mkutano huo. Kutoka kushoto ni Ofisa Afya Mfawidhi wa JNIA, George Ndaki,  Mkurugenzi Msaidi wa Ufuatiliaji wa Ugonjwa, Janeth Nghambi, Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya  na Ubora, Dk.Fausta Mosha na Mkurugenzi Msaidizi Afya na Usafi wa Mazingira, Elias Chinamo.
 Wanahabari na wadau wengine kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii na Uwanja wa Ndege wakiwa kwenye mkutano huo.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...