BAADA YA KUSEMWA MENGI KUHUSU NDOA YA JAYDEE NA GADNER ….JAYDEE AWAKATA MIDOMO KUPITIA INSTAGRAM

Kama mnavyojua kwasiku mbili tatu hizi kumekuwa na taarifa mbalimbali kupitia blogu hizi za udau na hata SOSHO MEDIA kupitia AKAUNTI za wadaku…kuwa Komando Lady Jaydee ametengana na mumewe Gadner G Abash…SINA hakika kama ni kweli au LAA..japokuwa hakuna kati yao aliejitokeza kupiga hili!SOMA ZAIDI>>


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...