Home »
Uncategories »
KAMANDA KOVA AZINDUA PIKIPIKI YA HERO DAWN 125 CC
KAMANDA KOVA AZINDUA PIKIPIKI YA HERO DAWN 125 CC
Unknown
8:14 AM
Kamanda
wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova (katikati) na
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Astarc Motors Tanzania Ltd, Sameer
Musale (kushoto), wakifungua kitambaa kuashiria uzinduzi wa pikipiki
mpya aina ya Hero Dawn 125cc katika hafla iliyofanyika jijini Dar es
Salaam jana.
Kamanda
wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova akijaribu moja
ya pikipiki mpya aina ya Hero Dawn 125cc katika hafla ya uzinduzi wa
pikipiki hiyo jijini Dar es Salaam jana. Wa tatu kushoto ni Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Astarc Motors Tanzania Ltd, Sameer Musale na
wawakilishi kutoka Astarc.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Roma Mkatoliki akitoa burudani katika
hafla ua uzinduzi wa pikipiki aina ya Hero Dawn 125cc jijini Dar es
Salaam jana.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova
(kulia), akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Astarc Motors
Tanzania Ltd, Sameer Musale (kushoto) katka hafla hiyo.
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kanda ya Dar es Salaam Kamishna
Msaidizi wa Polisi, Amiri Konja (kulia) akitoa rai kwa waendesha
bodaboda kutii sheria za barabarani ili kupunguza ajali ambazo tawimu
zinaonyesha kuongezeka. Kulia kwake ni Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu
ya Dar es Salaam, Suleiman Kova (katikati), na Mkurugenzi Mtendaji wa
Kampuni ya Astarc Motors Tanzania Ltd, Sameer
Musale.