PICHA ZA DIAMOND, JOHARI, RAY NA UWOYA ZATUMIKA KUPAMBA RESTAURANT CHINA


Picha za mastaa wa filamu na muziki nchini Tanzania zimetumika kama mapambo katika restaurant moja nchini China. Kwa mujibu wa blog ya Swahiliworldplanet restaurant hiyo inaitwa Medina na haijajulikana kama inamilikiwa na mtanzania au lah, huku picha za Irene Uwoya, Diamond Platinumz, Johari na Vicent Kigosi "Ray" zikitumika kupamba kuta za restaurant hiyo. Angalia picha hizo hapo juu.

Picha hii ya Johari na Ray inasemekana ilipigwa miaka kadhaa nyuma wakati wakiigiza filamu ya Revenge na ipo katika Restaurant ya Medina nchini China


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...