Vijana
wawili sasa hivi live Kijitonyama wakitumia pikipiki wamemfuatilia
mdada aliyetokea Access Bank na kumpora mkoba wake kwa bahati nyuma yao
alikuwepo msamaria mwema anakuja na Toyota Carina
alipowaona in action akawafuata na gari na kuwasukumia mtaroni, ambapo
wananchi waliwadaka na kuwapa kipondo cha mbwa mwizi ona hapa baada ya
kipondo wapo Hoiiiii |