KOCHA WA SPURS ATIMULIWA

Kocha wa Tottenham Hotspur aliyetimuliwa, Timothy Sherwood.
KOCHA wa timu ya Tottenham Hotspur, Timothy Sherwood ametimuliwa kazi ya kuendelea kukinoa kikosi cha timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu England. Kocha huyo mwenye umri wa miaka 45 alianza kukinoa kikosi cha Spurs chenye maskani yake London tangu mwaka 2013.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...