MAWAZIRI KAMBI YA UPINZANI HAWA HAPA

Kiongozi wa kambi hiyo bungeni, Freeman Mbowe (katikati),Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James F.Mbatia(kushoto) na Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Lipumba (kulia)
1. OFISI YA WAZIRI MKUU KUB
-FREEMAN A. MBOWE NA (Chadema)

-NAIBU KUB - JAMES F. MBATIA (Nccr)

2. WAZIRI WA NCHI OFISI YA WAZIRI MKUU, DAVID ERNEST SILINDE (Chadema)

3. MIUNDOMBINU, E.ng MOHAMED H MNYAA (Cuf) NA- NAIBU PAULINE GEKUL (Chadema)

4 WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS, PROF. KULIKOYELA KAHIGI (Chadema)

5. FEDHA UCHUMI NA MIPANGO, DAVID KAFULILA (Nccr) NA NAIBU CHRISTINA MUGHWAI (Chadema)

6. MNADHIMU MKUU, KATIBA SHERIA NA MUUNGANO, TUNDU A.LISSU (Chadema)

7. MALIASILI,UTALII NA MAZINGIRA, MCH PETER MSIGWA (Chadema)

8. MAMBO YA NDANI YA NCHI, VICENT NYERERE (Chadema) NA NAIBU KHALIFA S. KHALIFA (Cuf)

9. MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA YA MASHARIKI, EZEKIAH D.WENJE (Chadema) NA NAIBU RAYA IBRAHIM KHAMIS (Chedama)

10. ULINZI NA JKT, MUSSA HAJI KOMBO (Cuf)

11. MAJI,MIFUGO NA UVUVI, SYLVESTER M.KASULUMBAYI (Chadema) NA NAIBU MAGDARENA H. SAKAYA (Cuf)

12. KAZI,HABARI,UTAMADUNI NA MICHEZO, JOSEPH O.MBILINYI (Chadema) NA NAIBU CECILIA PARESSO (Chadema)

13. NISHATI NA MADINI, JOHN MNYIKA (Chadema)

14. VIWANDA NA BIASHARA, GODBLESS LEMA (Chadema)

15. AFYA, JINSIA NA JAMII, DR. GERVAS MBASSA(Chadema) NA NAIBU FELIX MKOSAMALI (Nccr)

16. ELIMU,SAYANSI NA TEKNOLOJIA, SUZAN A.LYIMO (Chadema) NA NAIBU JOSHUA NASSARI. (Chadema)

17. KILIMO NA USHIRIKA, ROSE SUKUM KAMILI. (Chadema)

18. ARDHI,NYUMBA NA MAKAZI, HALIMA MDEE. (Chadema)


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...