Swahiliworldplanet ilipomuuliza
mwigizaji huyo mwenye mvuto wa asili amejisikiaje baada ya kutwaa tuzo
hiyo Rose alisema "nimejiskia furaha sana, pia imekua zawadi yangu kubwa
hamuwezi amini.. kwa kutoweza kutoa filamu kwa muda mrefu ila nimeweza
kuwapatia nilichokipata baada ya kuvuna mashabiki wangu...
niko na furaha na nawashukuru wote, namshukuru mama yangu mzazi na ndugu zangu.. pia namshukuru Director wangu kwenye filamu hii Malick Bandawe na pia napenda kuishukuru NDAUKA ENTERTAINMENT kwa ujumla.....NAWAPENDA ZANA NA NAWASHUKURU WOTE KWA KUWEZESHA KAZI YANGU KWA NAMNA MOJA AMA NYENGINE