Senator Mike
Sonko hivi karibuni ameweshangaza rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na
makamu wake Ruto kwa kuvalia vazi ambalo sio sahihi kwenye shughuli kama
iliyokuwa ikiendelea na kuonekana tofauti na kila kiongozi aliyekuwepo
eneo hilo.
Uhuru
na Ruto walishindwa kabisa kuzuia mshangao wao na kuanza kuongelea vazi
hilo huku wakicheka kama vile ni kituko kuwa kiongozi kama Sonko amevaajeans iliyochanika chanika huku juu akiwa amevalia suti na tai nzuri tu.