Mojawapo ya vurugu zilizowahi kutokea uwanjani.
Watu
15 wamepoteza maisha wakati 21 wakijeruhiwa baada ya vurugu kuibuka
uwanjani mjini Kinshasa, DRC baada ya polisi kulipua mabomu ya machozi
kwa mashabiki. Vurugu hizo ziliibuka wakati wa mechi kati ya ASV Club na
Tout Puissant Mazembe.