Msiba mwingine wa staa wa Mpira watokea usiku wa kuamkia leo

Marehemu Gebo Peter enzi za uhai wake.
Mshambuliaji wa zamani wa Sigara na Simba, Gebo Peter amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Beki wa zamani wa Yanga, Bakari Malima ‘Jembe Ulaya' amethibitisha taarifa za kifo hicho.
GPL


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...