BREAKING NEWS: PICHA ZINATISHA TAFADHALI...HOUSEBOY AMPASUA KICHWA MTOTO WA BOSI, ATAFUNA UBONGO WAKE KISHA AJIKATA UUME WAKE NA KUUTAFUNA....!

http://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=171727&d=1405691938 
Kwa habari tulizozipata hivi punde toka mkoani KILIMANJARO: Kijana mmoja anayefahamika kwa jina la Laurent Mramba amejikata uume wake na kuutafuna leo hii mapema asubuhi...Kijana huyo ni mkazi wa Marangu ambaye alikua ni houseboy, kabla ya kufanya kitendo hicho alimpasua kichwa kwa panga mtoto wa bosi wake na kuutafuna ubongo wa mtoto huyo...
Taarifa zaidi zitakujia hivi punde...shuhudia picha za kijana huyo baada ya kujifanyia kitendo hicho cha kinyama...


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...