LIVERPOOL YAANZA NA MAJANGA YALALA 2-1 DENMARK

Kikosi cha Liverpool kilichofungwa 2-1 Denmark
KLABU ya Liverpool imeanza ziara yake ya kujiandaa na msimu mpuya kwa kipigo cha mabao 2-1 katika mchezo wa kirafiki nchini Denmark wakiingia rasmi kwenye maisha bila ya mkali wao wa mabao wa msimu uliopita, Luis Suarez aliyehamia Barcelona kwa dau la Pauni Milioni 75.
Kocha Brendan Rodgers amechezea kichapo kutoka klabu ya Brondby akitumia kikosi cha wachezaji wenye uzoefu mdogo.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...