
![]() |
Ajali
iliyohusisha basi la HOOD na daladala maeneo ya Usa River mkoani Arusha
muda huu...Ambapo dereva wa dala dala kafariki hapo hapo
|
Watu
5 wamekufa baada ya basi la Hood kwenda Mbeya kugongana na Hiace eneo
la Kilala, Arusha asubuhi hii, wengi wajeruhiwa. Taarifa zaidi baadaye.