BREAKING NEWS: MBUNGE WA TABORA MJINI AMENUSURIKA KUFA BAADA YA GARI LAKE KUPATA AJALI MBAYA

Habari zilizotufikia hivi punde mbunge wa Tabora Mjini Mh. Ismail Rage amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kupata ajali akiwa anaelekea Mjini Dodoma kwa ajili ya vikao vya bunge la katiba linalotarajiwa kuanza kesho.

habari kamili zitakujia baadae


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...