
Argatha Loswash ni mtangazaji wa NBS
TV katika jiji la Kampala ndiyo anaetesa pande hizo kwa kuwa na umbo
lenye mvuto wa kibantu.



Vera katika pozi za kimitege anasema mwili wake umekaa kibiashara zaidi.

Masogange na mwenyewe ndiyo hivyo hivyo kikazi zaidi.

Argatha Kampala wanatafutana pia.