KITALE AKA MKUDE SIMBA AMRISISHA VITUKO MWANAE ALIYEMPA JINA LA SIMBA WAKE

Kila mtu anapokuwa kazini huwa mwingine na akirudi katika familia yake huwa mtu mwingine na hii imedhihirishwa na Kitale au Mkude Simba jina ambalo limekuwa kwa haraka zaidi, Pamoja na vituko vyake anavyofanya vya kuigiza kama muhuni au teja aliyebobea na mambo mengine lakini Kitale ni baba na ni mume wa mtu na ana familia yake, Tazama picha hapo za mtoto wake


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...