STAA wa
filamu za Kibongo, Deogratius Shija ameugua ghafla na kulazwa katika
hospitali moja jijini Johannesburg, Afrika Kusini alipokwenda kwa
mapumziko mafupi.
Akiwasiliana
na mwandishi wetu kupitia mtandao mmoja wa kijamii, rafiki wa karibu wa
Shija aliyeomba hifadhi ya jina lake alithibitisha kuhusu kuugua kwa
msanii huyo.
alisema rafiki huyo ambaye ndiye mwenyeji wa Shija.
Siku ya pili, mwandishi wetu alifanikiwa kuwasiliana na Shija kupitia mtandao mwingine wa kijamii ambapo alisema: