Naibu
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia
kushoto akiteta jambo na Baadhi ya Watumishi wa Shirika la Utangazaji
Tanzania mara baada ya mkutano wa siku moja baina yake na Watumishi wa
Shirika hilo
Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania Bwana Clement Mshana
aliyesimama wa kwanza kulia akitoa neno la Shukrani kwa niaba ya
Watumishi mara baada ya Mheshimiwa Naibu Waziri kuongea na Watumishi wa
Shirika hiloNaibu
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia
(Aliyesimama Katikati) akiongea na Watumishi wa Shirika la Utangazaji
la Taifa hawapo Pichani jana katika ziara ya siku moja ambapo aliwasihi
kufanya kazi kwa Bidii na kuwa wabunifu.Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa
Shirika hilo Bwana Clement Mshana na Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya
Habari Bwana Assah Mwambene
Watumishi wa Shirika la Utangazaji Tanzania wakimsilikiza Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia alipofanya ziara ya siku moja katika Shirika hilo jana jijini Dar es Salaam

Picha zote na Benjamini Sawe kutoka Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WHVUM