BREAKING NEWSSSS ... WANAFUNZI WA CHUO CHA MZUMBE WAUA MWIZI WA LAPTOP CHUONI MOROGORO

Wanafunzi wa mzumbe main campus Morogoro wameua mwizi alyeiba laptop kutoka mabwen mawil tofauti kwa taarifa zaid zinasema uuaji huo umetokea na hasira kali za wanafunzi hao kuibiwa laptop kila siku na pia mwanzafunz mwenzao kuvamiwa barabaran na kujeruhiwa na visu siku zilzopita....


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...