Home »
Uncategories »
MSANII 20% AFIWA NA BABA YAKE MZAZI, KUZIKWA LEO KIMANZICHANA
MSANII 20% AFIWA NA BABA YAKE MZAZI, KUZIKWA LEO KIMANZICHANA
Unknown
4:48 PM
![](https://fbcdn-sphotos-e-a.akamaihd.net/hphotos-ak-ash3/1385931_752335141447573_1938776213_n.jpg)
Tunampa
pole msanii 20% kwa kufiwa na baba yake mzazi mzee Khamis Kinzasa
aliyefariki jana Jumapili. Mazishi yanatarajiwa kufanyika leo huko
Kimanzichana.
Tumia nafasi hii kumpa pole 20%.