MWENDO KASI WASABABISHA AJALI MUDA HUU WAKATI WAKIWAHISHA FEDHA ZA TAASISI BENKI.

 
Gari la Taasisi ambayo hakujulikana kwa Mara moja ikiwa ma Fedha na imepata ajali muda huu eneo la Survey Dar es salaam.
 
 Mashuhuda wakiwa wanashuhudia Ajali hiyo
 Askari wa Jeshi la Polisi akiwa anaimarisha ulinzi baada ya ajali hiyo kutokea
 Magari yakiwa na Foleni kiasi
 Gari la Taasisi hiyo likiwa limesimama baada ya ajali hiyo
Taili Likiwa limekatika baada ya ajali hiyo.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...