VIONGOZI WA UPINZANI WAKUTANA NA JK MUDA HUU

 
Rais Jakaya Kikwete.
Viongozi wa vyama vya upinzani nchini wameingia Ikulu jijini Dar es Salaam hivi punde kukutana na Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete kwa mazungumzo ya kutafuta muafaka wa marekebisho ya Katiba.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...