WAHAMIAJI HARAMU WALIOKAMATWA MKOANI MOROGORO...WALIJIFICHA KWENYE MAGUNIA YENYE UNGA

Wahamiaji haramu wakiwa kituo cha polisi mkoani Morogoro mara baada ya kukamatwajana wakisafirishwa
Mmoja wa wahamiaji haramu akishushwa katika gari la mizigo lillokuwa limebeba shehena ya chokaa lililokuwa likitokea mkoa wa tanga na kukamatwa jana mkoani morogoro



 
Viroba vya unga ambapo watuhumiwa walifungiwa kwa minajiri ya kujificha
 
Mmoja wa wahamiaji haramu akisaidiwa kusimama na askari




Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...