AJALI YAUA 12 HANDENI, MKOANI TANGA Unknown 10:15 AM Watu zaidi ya 12 wameripotiwa kufa na wengine kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria la Burudani kutoka Korogwe kwenda Dar es Salaam kupinduka katika kijiji cha Taula wilayani Handeni mkoani Tanga. Chanzo: East Africa Radio Share this Share on FacebookTweet on TwitterPlus on Google+ Related PostsAfrican Union summit on ICC pullout over Ruto trialYemen violence: Twin attacks on army 'kill 30'Venezuela condemns 'US airspace ban' on President Maduro'Boko Haram attack': Abuja sees security forces targetedElephant kills British man in India, police saySwaziland votes in no-party election