DIAMOND AMTANGAZA RASMI WEMA SEPETU KUWA NI MCHUMBA WAKE...SHUHUDIA HAPA

1 

Tukio hilo lilitokea  juzi  pale Leaders club kwenye show ya Diamond ambapo Wema Sepetu alipanda kwenye stage na kuongea na mashabiki waliofika kwenye show hiyo….
Kwenye hiyo show, Diamond aliuliza,”Mnataka kumjua mchumba wangu”? Show ilivyoendelea Diamond alitaka kuimba wimbo wa “ukimwona” akasema:

 “Nasikia ninayetaka kumuimbia wimbo huu yupo humuhumu ndani”.
Baada  ya  kauli  hiyo, Wema Sepetu alipanda kwenye stage kisha wakakumbatiana  na kucheza wote.
379719_654725334570888_100223854_n
 1499625_654740321236056_1133727884_n


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...