MWANAMUZIKI WA BONGO FLEVA, REMMY WILLIAMS ATUA NCHINI

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Remmy Williams akiwa na maua baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea nchini Italia. Remmy (kushoto) akiwa na meneja wake wa nchini Italia, Wactor Fizio, walipowasili nchini.  
Remmy Williams (katikati) akilakiwa na baadhi ya warembo waliojitokeza kumpokea uwanjani.
 
Remmy Williams akiwa ameshikwa mkono na meneja wake wa Tanzania, Mcdennis Mgatha.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...