MREMBO aliyeng’ara kwenye Shindano la Miss Tanzania mwaka 2011, Hamisa Hassan ‘Hamisa Mabeto’ ameonekana kuchuana na demu wa zamani wa mwanamuziki Jackson Makini ‘Prezzo’, Huddah Menroe kwenye ishu ya kupiga picha za utupu.
Hamisa Hassan ‘Hamisa Mabeto’.
Huddah Menroe.
Hamisa ambaye hivi karibuni alipata zali ya kupamba jarida moja la
burudani nchini Kenya kwa picha iliyo kinyume na maadili, anadaiwa
kupiga picha nyingi za kihasara huku ikielezwa kuwa, kwa Kenya sasa
anachuana na Huddah.
Hamisa.
GPL