watuhumiwa
watatu wakukamatwa na bunduki ya kivita aina ya G3 wakiwa katika kituo
kikuu cha Polisi cha Mkoa wa Katavi ambao walikamatwa na bunduki hiyo ya
kivita hapo january 10 2014 majira ya saa mbili usiku katika kijiji cha
matandalani kata ya sitalike wilaya ya mlele wakiwa njiani kuelekea
Tunduma mkoani mbeya watuhumiwa hao ni simon Kasobhile (42) mkazi wa
Ileje Mbeya, BIlau Rashidi (44) maarufu kwa jina la maftah mkazi wa
sumbawanga na Martin John (32) mkazi wa Tunduru
Picha na Walter Mguluchuma