Mzee mmoja mwenye hasira kali, Deji
Kamoru, amejikuta akitiwa mbaroni baada ya kumfuma binti yake Aishat
chumbani kwake na kuuamua kumrusha kupitia dirishani ghorofa ya 3, mkasa
huo kwa mjibu wa walioshuhudia ulitokea pale mzee huyo aliporudi
nyumbani kwake na kumkuta binti yake mwenye umri wa miaka 14 akiwa
chumbani kwa baba yake akila uroda na boyfriend wake, kwa mjibu wa
shuhuda wa tukio hilo mzee huyo aliamua kumfunga mikono binti yake huyo
na kumchapa kisha kumrusha dirishani... binti huyo alipofika chini
alipigiza kichwa na kupoteza fahamu.. mpaka sasa binti hajitambui na
yuko ICU katika hospital ya taifa ya Nigeria... mzee huyo ameachiwa kwa
dhamana ili aweze kumhudumia mwanae hospital kwani mama yake
waliishatarakiana siku nyingi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)