DIVA NA KING CRAZY GK MAMBO HADHARANI...!! DIVA AAMUA KUWEKA WAZI MAHUSIANO YAO YA KIMAPENZI..!! SOMA HAPA.

 Zile tetesi zilizoanzishwa na Team Chaggabarbie kuwa Diva na Msanii anaeunda kundi la East Cost tema GK zimekuwa na ukweli kwani diva ameamua kuvunja ukimya na kuweka kila kitu wazi kabisaaaaa kuhusu penzi hilo..... Diva alipost picha hiyo hapo juu kisha kuweka maneno haya kama caption ya Picha hiyo.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...