Home »
Uncategories »
LADY JAYDEE AOMBA USHAURI ANATAKA KUBADILI JINA LA BENDI YAKE, SOMA HAPA HILI UMPATIE USHAURI WA JINA JIPYA
LADY JAYDEE AOMBA USHAURI ANATAKA KUBADILI JINA LA BENDI YAKE, SOMA HAPA HILI UMPATIE USHAURI WA JINA JIPYA
Unknown
12:09 PM
Muimbaji wa kike wa muziki wa kizazi
kipya nchini Lady Jaydee afikiria kubadilisha jina la band yake kutokana
na machozi yaliyokuwa yakimliza kipindi hicho yameshafutika.
Amefikiria kubadilisha jina hilo la
bendi yake na isiitwe Machozi Band kama ilivyozoeleka kutokana na sasa
hatoe tena machozi kama ilivyokuwa hapo awali.
Kupitia ukurasa wake wa Facebook
aliandika hivi " Nafikiria kubadilisha jina la band sababu Machozi
Machozi niliolia zamani yashafutika. Mnashaurije???" alitupia swali hilo
kwa mashabiki wake