'Tito Zimbwe' Actor Bongo Movie's Tanzania
MSANII
huyu maarufu na mkongwe katika tasnia ya filamu hapa nchini ambaye
wengi walianzia kumtambua pale Kaole katika Tamthilia zilizotikisa
Tanzania na vitongoji vyake,
Nguli huyo wa filamu alifunguka kuwa ajali hiyo ilitokea mnamo siku ya Ijumaa 7/FEB/2014 usiku majira ya
saa tano na nusu,
Alisema
kuwa chanzo cha ajali hiyo ni tuta lililowekwa barabarani bila alama
yeyote au kiashiria cha kuonyesha kuwa eneo hilo kuna tuta kwahio dereva
upunguze mwendo.
Alikuwa
akitokea kigogo sambusa kuelekea kinondoni kufika maeneo ya kigogo
lutihinda mkabala na Shule ya Msingi Lutihinda Primary School alishangaa
ghafla amedunda kwenye tuta na kupaa hewani kutua chini akashindwa
kuizuia pikipiki ikamgaragaza kwa bahati nzuri mungu mkubwa kwakweli
aliumia lakini hakuvunjika popote zaidi ya kuchubuka mikononi na
miguuni.
Maranyingi
msanii huyo hutumia gari lakini sikuhio aliamua kutoka na pikipiki
kumfuata rafiki yake mpendwa Beni Branco mzee wa Vituko Vituko aliyekuwa
swaiba sana wa marehemu Steven Kanumba, Ajali hiyo ikawa mwisho wa
safari ya kwenda kumsalimu Beni Branco.
Mpaka sasa 'Tito Zimbwe' yupo
Kinondoni katika Hospitali ya Private ya Doctor Mvungi. Anaendelea na
matibabu, Hali yake ni nzuri kwa mujibu wa yeye mwenyewe
HUYO hapo kulia ndio Beny Branco rafiki yake Tito Zimbwe na wa katikati ni Director Faridu uwezo kushoto anaepewa glass ya naniliu ni mgonjwa mwenyewe..!
Du! Beny ana visa! Hadi Hospitali?.. Beny umepinda Chaliangu... We ni kwere arifff...