MWALIMU AJITOKEZA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KALENGA KUPITIA CHADEMA

Katibu wa Chadema  Wilaya ya Iringa Vijijini, Felix Nyondo (kulia) akipokea fomu kutoka kwa Mwalimu Vitus Lawa (kushoto). Fomu hizo ni kwa ajili ya kuwania kinyang'anyiro cha kuwa mgombea wa Chadema Jimbo la Kalenga, Iringa.
Baadhi ya wadau waliomsindikiza Mwalimu Vitus Lawa kurejesha fomu za kuchaguliwa kuwania Ubunge wa Jimbo la Kalenga katika ofisi za chama hicho zilizoko kata ya Gangilonga, Iringa.
Mwalimu Vitus Lawa akizungumza na waandishi (hawapo pichani) baada ya kurudisha fomu za kuwania kuchaguliwa Ubunge wa Jimbo la Kalenga katika ofisi za chama hicho zilizoko Kata ya Gangilonga, Iringa.

(Picha zote na Denis Mlowe)


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...