Hivi punde kumetokea
tukio la kutisha huko Sobral,Caera-Brazil baada ya kijana mmoja
aliyechukua maamuzi magumu juu ya maisha yake.kijana huyo ambaye jina
na chanzo cha yeye kujiuwa hakijafahamika mpaka sasa aliamua kujilaza
katika reli na kupitiwa na treni ya mzigo katika mgongo wake na
kumsababishia kupoteza maisha yake.
Police katika jimbo la Caera wanaendelea na uchunguzi watukio hili na hutambuzi wa ndugu wa marehemu.