DUU MAPENZI BWANA..!!! ANTI LULU AZUNGUMZA MAZITO JUU YA WALE WOTE WANAOTAKA KUMCHUKUA BWANA WAKE..

Aunty Lulu.
Akipiga stori na mwanahabari wetu, Aunty Lulu aliweka ‘pleini’ kuwa ameshatonywa baadhi ya majina ya wanawake japokuwa hana uhakika kama ni kweli wanamnyemelea mumewe mtarajiwa ambapo akithibitisha kitachofuata ni mkong’oto kwani timbwili analiweza.
“Nampenda sana Amani, anachonipa hakuna anayeweza kunipatia, nimetulia, ameshanitambulisha kwa wazazi wake, ole wake nimnase mtu, atanieleza,” alisema Lulu.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...