MASHINDANO YA REDD'S MISS TANZANIA YAZINDULIWA RASMI LEO JIJINI DAR.

Meneja wa kinywaji cha Redd's Original Victoria kimaro akizungumza
na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam juu ya kuzinduliwa kwa
mashindano ya Redd,s Miss Tanzania 2014kulia ni   mkurugenzi wa kamåuni ya LINO International Hashi Lundenga ambao ni waandaaji wa mashindano hayo na kushoto ni  Meneja Masoko wa kinywaji cha 
Redd's Original Vimal Vaghmaria.
 Mkurugenzi wa kampuni ya LINO International Hashi Lundenga akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam juu ya kuzinduliwa kwa mashindano ya Redd'sMiss Tanzania 2014 katikakati ni meneja wa kinywaji cha Redd's Original Victoria Kimaro na mwisho ni Meneja Masoko wa kinywaji cha Redd's Original Vimal Vaghmaria.
 Baadhi ya waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari waliohudhuria kwenye uzinduzi jijini Dar Es Salaam.
 Mkurugenzi wa kampuni ya LINO International Hashi Lundenga akizungumza  na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam juu ya kuzinduliwa kwa  mashindano ya Redd'sMiss Tanzania 2014 katikakati ni meneja wa kinywaji cha Redd's Original Victoria Kimaro na mwisho ni Meneja Masoko wa kinywaji cha Redd's Original Vimal Vaghmaria.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...