MCHEZAJI WA KMKM NA ZANZIBAR HEROES ALI SULEIMAN AFARIKI DUNIA KWA KUANGUKIWA NA MTI

MCHEZAJI wa KMKM na timu ya taifa ya Zanzibar ‘Zanzibar Heroes’,  Ali Suleiman Abdi amefariki dunia baada ya kuangukiwa na mti wakati wa mvua kubwa iliyoambatanana na upepo mkali iliyonyesha jana mjini humo


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...