Sina BEEF na msanii yeyote, mtangazaji yeyote wala media yeyote. ...ila nasikia kuna watu wanatangaza kuwa wana beef na mimi. .. GOD nisamehe wasije kunilaumu niki REACT!!!! Coz enough is enough!!
PROFESSOR JAY AFUNGUKA NA KUSEMA HAYA KUPITIA UKURASA WAKE WA FACEBOOK